Wakuu nimenunua sim ya blackbery curve. Tatizo haiungi internet. Natumia line ya TIGO.
Ilikuwa inaunga kama nusu siku natumia whatspa then inakata. Buta now naona imegoma mazima.
Msaada wenu wakuu najua hapa JF kuna wataalam kibao.
Asanteni.
Najiunga kwenye vifurushi vya tigo