Black berry 8520 inauzwa haraka

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna mtu yupo tayari. Nimekuja nazo kutokea uk. Na t.shirt za man u na arsenal original wahi haraka. Ni pigie 0713669533.

Nb: Simu hizi ni mpya, warranty miaka 5 kila simu nitakupa na certificate yake. Ina memory 2gb original
 
Hahahah! Wew kichaa, curve 8520 inauzwa 250,000 mpyaa kwa box sasa wew unauza laki 7??? Duuu
 
Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna mtu yupo tayari. Nimekuja nazo kutokea uk. Na t.shirt za man u na arsenal original wahi haraka. Ni pigie 0713669533.

Nb: Simu hizi ni mpya, warranty miaka 5 kila simu nitakupa na certificate yake. Ina memory 2gb original
Mkuu kwa bei hiyo inaonesha ni vere spesho,namaanisha ni self container full furnished au sio?
 
eheheheheh hiyo bb torch unalamba kwa jiwe 5 tena unaikuta almost new... itakuwa hiyo curve8520!!!!!????
Ckia mi curve 9300 kuna jembe alinitupia kwa laki na arobaini we utanipa sh ngapi nadhani weee utaiuza milioni moja kama sikosei... Risirti ntakuandikia na tutaaandikishiana warranty mpaka arsenal wachukue champions league
 
We jamaa!!!!!!! Curve hyo kwa laki 7 duuh...broda wangu kanunua mbili juzi kwa jamaa katoka SA kwa laki 4...
Kwa watz unaongelea certificate mkuu!!! Sisi tunajali inatwanga mzigo?
 
Huyo mkali sana.... Kama una wateja wa design hiyo embu niwe nakupa mizigo yangu uniuzie kwa hizo bei zako. Marty huyu jamaa mkali sana babae!!
 
Hakyanani hiyo simu ikipata mteja kwa bei hiyo na mimi nitaingia rasmi kwenye biashara ya simu.
BB 8520 kwa laki7!!
 
Jamani hii thread imenichekesha mpaka naonekana chizi hapa.... Hahahah
We muuzaji usitake kuwaibia watz. Ndugu hebu ingieni Mobile Phones | Contract Phones | Cheap Mobile Phone Deals & SIMs muone kanunua sh ngapi hiyo curve...
Pamoja na exchange rate hiyo simu haijafika sh laki2 za ktz. Sasa wewe unadhani watanzania wanaokota hela eeh? Biashara yenyewe hata tra hawakujui unaweka cha juu kama hicho... Ingekuiwa una duka mlimani city si ndio kalamu ungeuza milioni?
 
Inauzwa bei kubwa sana hiyo simu ni moja ya the cheapest bbb.

jamani mtaliwa mkilipa hiyo pesa eti laki tano, angesema model zingine za juu za bb sawa ila 8520 ni ya zamani na aina mambo mapya mengi ya ku enjoy a smartphone.

Ulaya nimeangalia wanauza kama pound 100 au chini, sasa si bora kutuma wanaotangaza kwenye mablog wakununulie ulipe tanzania simu ije. au kwenda dukani

wewe kwanini unataka kula watu na labda hiyo simu sio orijino ni zile zilizotengenezwa 2nd hand?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom