Black beauty kajikubali

Ila sasa kama anajikubali kwanini kaweka hayo makatani kichwani???

Yani hamna kitu sipendi kama hayo madudu. Ni vile tu tunavumilia
Mi mwenyewe sipendi kabisa hayo masuala. Bahati nzuri manzi angu ni wa nywele fupi ila ningekuwa napata ukakasi akivaa izo kitu
 
Huyo wa kwanza nimemkubali kinoma,ni mzuri sana.
Ila huyu mwingine (before & after makeup) [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Isipokuwa manywele. Ni ukinzani mkubwa kuweka manywele ufanane na mzungu huku ukijua ni Mwafrika asilia kabisa.
 
Ndio kuna picha zake za nyuma sema sikuzitunza niliziona insta

Enzi zile alikua anaigiza kama kayaiii na akina mzee ojwang(alisema mwenyewe huddah)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe aliwah kuwa kayayiiiiii?
 
Hizi makeup hatari mama kawa nzuri ghafla teh teh teh
 
Mungu aliwapendelea wadada wa hivi. Yaani huwa na upendo mpaka basi. Akikupenda anapenda haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…