Hio ni aspect ratio original ya Video. Kunakuwa na option ya Stretch to screen kagua remote inaondoa hizo bar lakini watu wanaweza tokea wa ajabu ajabu.
Ukiona hivyo inamaana kwamba video iliandaliwa kucheza kwenye screen pana zaidi ya hiyo yako. Na endapo utaicheza kwenye screen yenye aspect ratio ya ndogo zaidi (mfano 4:3) basi hizo bar nyeusi zitaongezeka ukubwa zaidi.
Wengine wanaweka hizo bars kwa makusudi , Zinakuwa kama sehemu ya muonekano wa picha/Filamu. Hivyo unaweza ukajaribu kuziondoa kwa kubadili aspect ratio na zisiondoke! Zikabaki pale pale.