Bkra siyo certificate ya mke bora

Hata wasio bikra walikuwa bikra, hata hawa jf wote walikuwa bikra
 
Acha kujidanganya, Kitendo cha kuwa bikra tayari kinabeba heshima, kujitunza, nidhamu na mambo yote unayosema hapo.

Huwez kumkuta Malaya afu ni bikra.
Huwez kumkuta ni mlevi afu ni bikra.
Huwez kumkutana hana adabu afu ni bikra
Nakubaliana na wewe kwenye umalaya na ulevi ila hapo kwenye adabu sio kweli 😁
 
Walioolewa na Bikra zao wengi wako vizuri Kusema kweli, Kila kitu kina exception. Wahenga sio wapumbavu kwenye mambo Yao, kama mtu kaoa chakaramu yeye apambane naye Kwani sio kosa wala haina maana kwamba ndoa itakuwa mbaya..
 
I hope mtoa mada unazingatia bikra za pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume...wote tuwe bikra si ndiyo?
 
Hii comment, Wanaume watajifanya hawaioni, ba wakiiiona watakuambia wee ni SIMP.
 
Hawawezi kukuelewa hapa.
 
Kila upande umeamua kuchagua standard zake pale linapokuja swala la kuanzisha mahusiano.

Mwanamke ameangalia vigezo vyake na kuamua kuvipa kipaumbele anapochagua mwanaume wakuwa naye.

Huyo mwanamke aliyetolewa bikra, pengine wewe ungemfuata angekukataa kwasababu hujafikia vigezo anavyovitaka.

Pengine hizo sababu ambazo wewe umezitaja kama mbinu za kumshawishi mpaka akubali, zipo ndani ya vile vigezo vyake alivyoviweka yeye.

Sasa sijajua kwanini mwanaume akiweka standard zake za kumchagua mwanamke wa kuoa aonekane mbaya?
 
Hii comment, Wanaume watajifanya hawaioni, ba wakiiiona watakuambia wee ni SIMP.
Wanaume tujifanye hatujaona hiyo comment kwa lipi? Hakuna anayebisha kwamba bikra ni adimu. Hoja ya msingi ni kwamba bikra ni ishara ya mwanamke ambaye hana makandokando ya kitabia yanayotokana na historia yake ya kimahusiano ya kimapenzi. Kwasababu hiyo bikra ni ya muhimu japo si kigezo pekee cha mke bora.
 
Basi sawaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…