Uwe unaangalia torrent kutoka kwa uploaders maarufu, mfano movie za etrg, au yify zinakuwaga na seed nyingi ukilinganisha na uploaders wengine.Tafadhali nisaidie hizo Torrent sites ambazo zina seeders nyingi!
Hua natumia Piratesbay, Kickass na 13337X.
Ahsante Boss, ingawa case haikuwa speed.Uwe unaangalia torrent kutoka kwa uploaders maarufu, mfano movie za etrg, au yify zinakuwaga na seed nyingi ukilinganisha na uploaders wengine.
Pakua NordVPN... Chukua Premium account hii hapa aviad94@gmail.com: Aviad1994mimi ni mpenzi wa kutumia kickass ila siku hizi inadai VPN kila nikijaribu kuclick magnet. msaada wadau
Pakua NordVPN... Chukua Premium account hii hapa aviad94@gmail.com: Aviad1994