haya naanza bitooz=mtoto wa kiume asiye na issue maalum mjini kila kitu mjuaji yeye heleni ,sigara ,pombe wanawake vyote mtaalamu yeye,a.k.a mpuuzi daraja la kwanza,mashauzi mengi ka mwanamke anaeanza vunja ungo. Nyangema=mtoto wa kitanzania aneuusudu umagharibi na kuukandia ubongo au uafrika wake daima atajifanya ye ka 2pac na itikadi zisizo na misingi imara mradi watoto weusi wa kimarekani wanatukuza naye atafanya pia,brothermen mtu wa kujifoji kishoboshobo ka m**nge ,haeleweki ni mtoto wa kiume au mwanaume mradi shombo tu +mtu wa totoz za geti kali zenye kushoboka ,