GE2025 Biteko: Sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka

GE2025 Biteko: Sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.

Doto Biteko ambaye pia ni mbunge wa Bukombe aliyemaliza muda wake na Naibu waziri mkuu, amesema hayo leo Agosti 3, 2025 kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa wagombea wa udiwani na ubunge katika kata za Bulega, Ushirombo na Bukombe zilizopo jimbo la Bukombe.
 
Demokrasia ya Tanzania inapaswa iingizwe kwenye maajabu ya dunia
 
Back
Top Bottom