BON255
Member
- Apr 6, 2015
- 73
- 17
- BITCOINS ni coin inayozidi kukua ulimwenguni kwa kasi kubwa sana, BITCOINS ni coins isiyoshikika kama pesa nyingine (Digital currency) ila inauwezo wakufanya kazi kama pesa nyingine ulimwenguni, hii pesa thamani yake inazidi kukua siku hadi siku, thamani yake ni kubwa kuliko US dollar mara 1000 zaidi (1BTC = 1016) kwa sasa, na kubwa kuliko Tanzania shilling mara million mbili zaidi (1BTC = 2,210,425TZS), ila kadri mda unavyozidi kusonga ndivyo thamani yake inavyozidi kukua, hivyo usishangae kesho hizo figure zikabadika zaidi ya hapo, hivyo basi unaweza ukainunua hiyo BITCOINS kwa bei ya siku ya leo ila ukaiuza kwa bei kubwa kesho yake, kwa Afrika hii biashara yakununua na kuuza ipo ila haijakuwa sana kama nchi za EUROPE, kwa East afrika hii biashara inafanyika sana KENYA na UGANDA na inazidi kukua siku hadi siku, ila kwa TANZANIA ipo ila kwa kiasi kidogo sana, ukitaka kuuza na kununua BITCOINS basi jiunge kwakuibofya hii link LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins na uweze kupata faida kwa kununua na kuiuza hii coins kupitia LOCAL BITCOINS, na ukitaka kununu hii coins kwakutumia M-PESA baada yakujiunga bofya kwenye link hii Buy bitcoins with cash in TZS, Dar es Salaam, Tanzania, na ukitaka kujua thamani ya BITCOINS inavyozidi kukua saa hadi saa download hii application (BITKOIN.IO) kwenye simu yako