



Gwajima kazingua aisee...



Aisee aliyegundua Fasihi nampa heshima yake ,ujumbe wa mkude Simba umefika haswa Ndio wachungaji wetu hao nadhan maandiko yamewaisha vichwani mwao mfano Lusekelo anaimba kamata kamatia chini mbele ya madhabahu ajab kabisa hii ...

