kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Huyo mchungaji ni mgomvi sana.
Kweli maana kila siku anajitahidi kujiweka mbele kama yeye ndo mtoa hukumuAnatafuta KIKI
Huyu nae anatufanya watanzania malofa
Itakuwa walipatana wakiitwa pamoja na wazee wa kolomijeKikao tena?? Kwani walipatana....
Hawa hawapatani iweje wakae kikaoItakuwa walipatana wakiitwa pamoja na wazee wa kolomije
..."kwigwa kwa mbulu... mininga mu matuh!" Yetu macho na masikioKuna taarifa zimeenea sana jioni hii kuwa Askofu Gwajima atakuwa na kikao na Bashite.....Gwajima amekanusha vikali na kusema hawezi kununuliwa hats iweje
Source: ukurasa wake
Kweli mkuuWanatutumia sisi kama uwanjwa wa vita vyao, ingekuwa amri yangu ningewafunga kamba nawavutia mbali kabisa baharini wakamalize ubishi wao ndipo warudi,
Sasa hivi wameteka akili za watu wanaacha kufanya kazi kila kona wanazungumzwa wao
Bashite alietajwa na Gwajima unamfahamu?[emoji53][emoji53][emoji53]Huyo mchungaji ni mgomvi sana.
hahahaha, umenichekesha. ila hapa bondeni kwa madiba au kwa akina mudavadi pale kwa wakikuyu a.k.a wachaga wa Kenya wasingemcheleweshaUyu jamaa ana mdomo sana angekua Russia watu washsmtungua zaman na maisha yanaendelea,..
Anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe. Nashukuru kuna watu walikuwa hawajamuelewa sasa wameanza kuelewa na tuko nao hapa hapa.Kuna taarifa zimeenea sana jioni hii kuwa Askofu Gwajima atakuwa na kikao na Bashite.....Gwajima amekanusha vikali na kusema hawezi kununuliwa hats iweje
Source: ukurasa wake
Kweli aiseeHuyo mchungaji ni mgomvi sana.