bishanga niko arusha.....

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe ..tena we Paloma mi nshalewa ujue.....halafu we Madame B ujue nakumaindi .. Na wee Husninyo inahisuu? Niko chichaaaaaa....avracadavraaaaa na mnukome... Zion Daughter nna ham na wewe... The secretary naomba tuonane I love you.....
 
Last edited by a moderator:

We bepari uliyefilisika Bishanga, Naomba ikifika Alfajiri, kile kijua cha utosini kikishakupiga, Utamke tena hayo maneno unayoniambia.
La sivyo natuma Kopi kwa Mahabuba zangu woote popote walipo.
 
Last edited by a moderator:

upo chichaaaa umekula machichaaa uuuuuuhuu ponda raha tuonane wakati umeniacha home nalarua yailah nalarua
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Bishanga.. Unakimbia madeni eeh.. Arushaone mwangalie huyo kapigika anaweza kukuachia msala wakati wowote.. Ana madeni mpaka kwenye kucha kudadadadadadeki. Tena uache kumtaja ucingizi wangu Paloma.. .
 
Last edited by a moderator:

Ukisikia kuingia choo cha kike ndio huku. Ukichukulia kuwa nina usongo na wewe kwa kuingilia ndoa yangu na Kongosho bora upande Dar Express au Sai Baba (kwanza ushaishiwa pesa ya kukopa Finca nauli ya Dar Express hutaimudi) ya kesho mapema!
 
Last edited by a moderator:
We bepari uliyefilisika Bishanga, Naomba ikifika Alfajiri, kile kijua cha utosini kikishakupiga, Utamke tena hayo maneno unayoniambia.
La sivyo natuma Kopi kwa Mahabuba zangu woote popote walipo.

Utampiga kwa fimbo gani mkuu? au au ile fimbo ya ki utu uzima inayo muumisa mwenzie? teh! teh!
 
Nachokuadmaya! Keroro chako hakina gharama! Sitaki kuamini kwamba una pawa ya kumeza viroba 20!
Buku 5-6 zinakukidhi! Uanze kuporomosha mitusi !
My advice , kunywa ukalale, ukianza na huko, "ooh natafuta sh 5 ya trekta! Sijui rupia ya simba mbili ! Mara pasi ya wajerumani" watakugawana! Machalii wa huko, sio mafala!
 
Ukimaliza amia tripple A ni karibu na hapo ila usithubutu kutembea on foot maana ukikutana na watoto wa mbwa huenda usiione kesho ndugu,nakusihi kuwa makini na hiyo mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…