Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Wewe wasema, i dont real have a permanent baby hapa JF (hope Tonykp na wengineo hawajanisikia).........in aza weds Tonykp ni bebii Wako,si ndio? Funguka Mrembo by Nature
The secretary habari za kwako aise
nimesikia Lady doctor huwa anakutandika makofi.
Naja mamii...na mafuta ya ubuyu!!!
Kwa kudandia vya wenzio hujambo!! wife The secretary hajambo?karibu.....
Kwa kudandia vya wenzio hujambo!! wife The secretary hajambo?
.......we nawe umeanza...chemsha maziwa ya mtoto mengine usitake kuyajua
Wewe wasema, i dont real have a permanent baby hapa JF (hope Tonykp na wengineo hawajanisikia).........
Kwa kudandia vya wenzio hujambo!! wife The secretary hajambo?
The secretary mi niko poa kabisa nakumiss tuu wewe
hayo makofi si niikuwa nakutandika wewe kipindi kile ulivyokuwa ukinifukuzia!