Sijambo my kaka...wapi this w/kend na my wifi?
Yani hunizidi...natamani nipae nikuje....My wiiiiiiiii..........
Nimekumisss!!!!!!
Hahahahaha...hayo umesema wewe mie siyajuinyama ya ham.....
kwani wewe Arushaone unamwogopa nkeo?
cc: Lady doctor.......nshakwambia huna mme husikii,huyo Arushaone wako atakurusha roho mpaka ubakie kimbaumbau.
Yani hunizidi...natamani nipae nikuje....
nke wangu ni Lady doctor tu na tunaheshimiana sana tu ila hatuogopani mkuu.
Kwani vipi?
Uzee unakuua wewe dingi....ushafanikisha kule FINCA nini 7bu naona unaingia kwa kibri...
Bishanga umeitika huu mwito au bado umeshikwa na bumbuazi la mtu mzima kuitwa beibe?
That is true madam.
Mrembo by Nature we acha tu a nimeshikwa nikashikika
Jikaze mtu mzima, wacha kuntia aibu bwana....na wewe wakikuita bebii unarudishia sio unashangaa shangaa hapo
Zahra White: "bebii"
Bishanga anaitika: "yes mammii sema utakacho nyunba,gari,kiwanja,trip London,just say it mammii....dadadeki
Sass dear si unifundishe wewe?
Aka mimi bado sijakuwa na tonykp ndo huwa ananifundisha