Wanaochangisha watu kwaajili ya birthday zao ni washamba, sio lazima ukusanye watu kama huna uwezo unaweza ku- celebrate na familia. To me birthday ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa hii oxygen bure na pia ku-reflect malengo niliyojiwekea. Kufa tutakufa tu hata usiposheherekea siku yako ya kuzaliwa
Kabla ya maendeleo ya sayansi kuzaa kuliua 30% ya kina wazazi, kuzaliwa kuliua 20% ya watoto kufika miaka 5 kuliua 20% ya waliobaki, kufika miaka 10 kuliua 10% ya waliobaki tena. Afrika ukifika miaka 35 asilimia >60 ya watu wa umri wako wamekufa.
Hapo ndio umuhimu ulipoonekana.
Kuna kuadhimisha na kusherehekea..
Ninavyofahamu kuadhimisha ni kukumbuka tukio flani lililokugusa.
Kimsingi tukio la kuzaliwa ni kubwa kwa sababu its just happen once na lina quencequences nyingi..
Kwa hivo kuwa na kawaida ya kukumbuka tukio hilo ni jambo zuri tu..
Binafsi huwa naadhimisha na sisherehekei siku yangu ya kuzaliwa..
Hujanipa sababu za msingi wa kusherehekea au kuadhimisha hilo
Niambie ni kitu gani kinakufanya uadhimishe na sio kusherehekea!
Nimesoma na hakuna mahali uliponipa sababuSoma tena post yangu ya mwanzo utaona kwa nini naadhimisha siku ya kuzaliwa..
Sio kweli hata kidogoUnaposema 'birthdays' ni kusogelea kifo huu ni mtazamo wako ambao ambao umeamua kuuchukua..
Kivipi?Kimsingi siku ulipozaliwa ndio siku ulipoumbiwa kifo..
Ni wapi mimi nimesema kuhusiana na kuogopa kifo?hivyo dhana ya kuogopa kifo sidhani kama inamashiko..
Just be positive minded,,,kufa kupo tu....nadhani kusingekua na maendeleo kama watu wangekuwa wanafikiria afterall tutakufa tu...unajua umuhimu wa furaha hata kama ni ya muda mfupi?..UNAJUA KITU KINAITWA UTILITY?...ITS ALL ABOUT BEING HAPPY,,FOR YOUR SELF BEING AS WELL AS OTHERS..tukuanza kufikiria kufakufa tu,ndio misongo ya mawazo yenyewe hiyo,,,Umuhimu wa nini ulipoonekana?
Au umuhimu wa kusherehekea kulisogelea kaburi?
Umuhimu wa nini ulipoonekana?
Au umuhimu wa kusherehekea kulisogelea kaburi?
Soma tena post yangu ya mwanzo utaona kwa nini naadhimisha siku ya kuzaliwa..
Unaposema 'birthdays' ni kusogelea kifo huu ni mtazamo wako ambao ambao umeamua kuuchukua..
Kimsingi siku ulipozaliwa ndio siku ulipoumbiwa kifo..hivyo dhana ya kuogopa kifo sidhani kama inamashiko..
Hujanipa sababu za msingi wa kusherehekea au kuadhimisha hilo
Niambie ni kitu gani kinakufanya uadhimishe na sio kusherehekea!
Umuhimu wa nini ulipoonekana?
Au umuhimu wa kusherehekea kulisogelea kaburi?
Wanaochangisha watu kwaajili ya birthday zao ni washamba, sio lazima ukusanye watu kama huna uwezo unaweza ku- celebrate na familia. To me birthday ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa hii oxygen bure na pia ku-reflect malengo niliyojiwekea. Kufa tutakufa tu hata usiposheherekea siku yako ya kuzaliwa
Kabla ya maendeleo ya sayansi kuzaa kuliua 30% ya kina wazazi, kuzaliwa kuliua 20% ya watoto kufika miaka 5 kuliua 20% ya waliobaki, kufika miaka 10 kuliua 10% ya waliobaki tena. Afrika ukifika miaka 35 asilimia >60 ya watu wa umri wako wamekufa.
Hapo ndio umuhimu ulipoonekana.
Hujajibu ni kivipi ufurahie kulisogelea kaburi!
haina maana sana kusheherekea na me nilikuwa najiuliza wa kusheherekea ni wewe au mama yako aliyekuona na uliyemuumiza wakati wakujifungua? kwa sababu tunafurahia kiitu mabacho ukijui wala hujui kilitokea nini? ni mtazamo wangu tu....
Advantages of Celebrating Birthdays!
"Birthdays are good for you. Statistics show that people who have the most live the longest"
Here are a few examples:
Birthdays are also a time to celebrate with the people you care about… they are also opportunities to review the year; what "worked" and what "needs improvement" - set goals for the next year of life to ensure we are living the life that is congruent with our True Self…
- Attitude to life changes, for the better – more positive and able to take life one day at a time
- Totally given up on trying to keep everybody happy - how liberating!
- Knowing I am so far from perfect and happy to be a "work in progress"
- Better able to be in the moment – "don't sweat the small stuff"
- More appreciative of the simplest of experiences
- Resilience, Perspective, and Humour
Wewe umeelewa nini kwenye haya maelezo uliyoyaweka hapa?
Kwani mimi nimesema hakupo?Just be positive minded,,,kufa kupo tu....
Your running out of the linenadhani kusingekua na maendeleo kama watu wangekuwa wanafikiria afterall tutakufa tu...
Kabla ya kuniuliza kuhusiana na furaha unatakiwa uniambie furaha ni niniunajua umuhimu wa furaha hata kama ni ya muda mfupi?..
Unaongeza maswali badala ya kujibu maswaliUNAJUA KITU KINAITWA UTILITY?...ITS ALL ABOUT BEING HAPPY,,FOR YOUR SELF BEING AS WELL AS OTHERS..
Nani amefikiria kufa tu?tukuanza kufikiria kufakufa tu
Huu ni woga wa kutofautiana na mazoea,ndio misongo ya mawazo yenyewe hiyo,,,
Hilo la mama angalau linaweza kuwa na mashiko kwa sababu ni siku aliyotimiza lengo lake la kuzaa
Tatizo huyo anaezaliwa kuisherehekea au kuiadhimisha!
Kwanza sijasema sijaelewaWewe hujaelewa nini kwenye hayo maelezo niliyoweka hapo?