realsam
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 289
- 135
Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29.
Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....
Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....