donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ndio mkuu, asanteUmesheherekea mwenyewe nn mkuu?
Bwy...happy birthday to ya !
Hahah, shukran mkuuHappy birthday to u mzee wa kula kula
Shukran mkuuHappy birth day...
Shukran mkuu, yeye yupo kipindi cha maajilioHappy birthday to you. Mbona sioni kinywaji cha wifi hapo?
Oooh. Kumbe anafunga. Mpe hongera wengine tuliishia kupaka majivu tu.Shukran mkuu, yeye yupo kipindi cha maajilio
Hahaha, si wengine tulidownload app ya majivuOooh. Kumbe anafunga. Mpe hongera wengine tuliishia kupaka majivu tu.
A hahahah msala huo mkuuIla usisahau kuvaa zile chupizng zako za kushonesha kipndi kile sawa...
Hahahahaaa.. umetisha. App ya majivu ukajisalisha na kujipaka majivu mwenyewe au?Hahaha, si wengine tulidownload app ya majivu
kumbu kumbu mkuuA hahahah msala huo mkuu