Birthday Girl

kengeledoi

JF-Expert Member
May 27, 2016
325
230
Habari wakuu

Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo.
Kwa wazazi wangu wapendwa napenda kuwashukuru kwa malezi yao bora toka nilipozaliwa mpaka umri huu.

Mwisho kabisa napenda kuwashukuru wakuu wa majukwaa yote, familia nzima ya Jamii Forum kwa upendo wenu, Karibuni sana kwa party jioni ya mwanafamilia mwenzenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom