Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Sio 100%Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?
According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote)...
Unawatafuta wapinga Kristo!Mkuu hivi unadhani kila mtu atakufa kwenye hii Dunia?
Wengine watabaki kushuhudia matendo Makuu ya Mungu wakati wa unyakuo.
Ndiyo.......Yu Hai πͺ
Ususahau siku ya kutungwa kwa mimba, ndiyo siku muhimu sanaJe siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?
According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote)...
Wakija tutawapa mistari ya Bible.Unawatafuta wapinga Kristo!
Nimeifurahia picha yako, Ina ubora na ujumbe zaidi kuliko nyuzi uliyoandika.Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?
According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote)...
MAtendo ya kiimaniMkuu hivi unadhani kila mtu atakufa kwenye hii Dunia?
Wengine watabaki kushuhudia matendo Makuu ya Mungu wakati wa unyakuo.
Ndiyo.......Yu Hai πͺ
Hakika πMAtendo ya kiimani
heeeeeee................Mkuu hivi unadhani kila mtu atakufa kwenye hii Dunia?
Wengine watabaki kushuhudia matendo Makuu ya Mungu wakati wa unyakuo.
Ndiyo.......Yu Hai πͺ
Jitahidi kutenda mema uwe mmoja wao wa kuja kusimulia vizazi vijavyo kuhusu matendo ya Mungu Mkuuheeeeeee................
kumbe sio kila nafsi itaonja umauti tena jamani
EKila nafsi itaonja umauti.Ukishashiba kande ni kujamba tu na mawazo yasio na kichwa wala miguu yanazunguka kichwani
Nyuzi niliondika ndio ina ubora zaidi , kila nafsi itaonja umauti.Nimeifurahia picha yako, Ina ubora na ujumbe zaidi kuliko nyuzi uliyoandika.
Nafsi haiwezi kuonja mauti!, ndio maana nikaandika Picha yako ni Bora na yenye weredi kuliko nyuzi.Nyuzi niliondika ndio ina ubora zaidi , kila nafsi itaonja umauti.