Biotechnology

Biotechnology

Kache

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
16
Reaction score
2
Mwenye ufaham na hiyo kozi anisaidie,karibun kwa mchango wenu
 
Application zake na hata field zake ni wap vitu kama hvo mkuu

Soma course content yake utapata mwanga wa nini kinafundishwa then jaribu kukifikiria kwenye real life kinatumika wapi then utapata mwanga... Mara nyingi watu wa biotech wanafanyaga kazi kwenye research labs
 
Nataka nkaisome hapo Dit,itakua ipo vizur na kuhusu ajira zake vip maana siijui kiundan
 
Siku zote ajira zipo tu cha msingi ufaulu na uelewa..... Hata ukisomea kilimo cha mboga mboga ukielewa na ukafaulu kazi zipo tu
 
biotechnology inalipa sana ila sio ya bongo maana awasomi deep zaidi hii inausika na maswala ya kutuimia vitu vilivyo hai kutengeneze useful product ikiwemo chanjo,dawa mfano kubadili virusi kuwa chanjo pia kubadili vyakula mfano kuku wa kisasa matunda ya kisasa na kuongeza virutubisho na kuzuia visishambuliwa na vijidudu pia kutibia magonjwa mfano ya virusi ukimwi,cancer, magonjwa ya kuzaliwa kwa kurepair defective gene pia kutibu cancer za damu yaan magonjwa yote yanayo husu mabadiliko ya vitu katika mwili pia hata ya bacteria pia kisukari kwa kufanya transplant ya islete of Langerhans cells pia kuhusu ajila zipo hata IHI wanahitaji hawa watu katika kazi zao including research
 
Aiseee umenipa moyo wa kuisoma vipi umepga hyo kozi nn khalfan
 
Back
Top Bottom