Hyo no sawa na ile inatolewa udsm inaitwa molecular biology and biotechnology.... Ni koz ambayo utakuwa MTU wa maabara za kilimo....kufanya utafiti huko kwenye hzo maabara

[emoji849][emoji849] kozi zote za sua main kampuss ni marketable... Ila jua sikuhizi hakuna ajira za posti... Ni survive for the fitest na connection. ...... Baaas