Gilbert Kulawa
Member
- Oct 7, 2019
- 7
- 0
Nashukuru sana Kakautapiga hela sana kurepair mavifaa ya mahospital,yale ma mashine ya uchaguzi nchi nzima baada ya mda yataanza kuhitaji repair na kazi yako hata si ya kuajiliwa wewe watakua wanakutafuta
Shukrani HunterIpo vizuri ajira uhakika.kapige shule uwe competent uta enjoy.
Ndo vzr akapate exposure. Nna jamaa mmj Ana bachelor ya Biomedical anapiga pesa kishenzi, ndo Injinia mkuu Bugando wa hivyo vitu japo anatumiwa kanda ya ziwa nzimaUbaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Ndo vzr akapate exposure. Nna jamaa mmj Ana bachelor ya Biomedical anapiga pesa kishenzi, ndo Injinia mkuu Bugando wa hivyo vitu japo anatumiwa kanda ya ziwa nzima
Sawa bro nashukuruUbaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Ni course nzuri. Kapige msuli kijana.Hello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko vipi hapa Tanzania.
Ahsanteni
muhas wameanza kutoa hio degree mwaka huuUbaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Muhimbili wanatoa degree ya biomedical equipment engineering, imeanza mwaka huu kaangalie list ya selected students 2019 muhimbili utakuta watu wamechaguliwa kwenye io kozi husika.Ubaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
muhas wameanza kutoa hio degree mwaka huu
Muhimbili wanatoa degree ya biomedical equipment engineering, imeanza mwaka huu kaangalie list ya selected students 2019 muhimbili utakuta watu wamechaguliwa kwenye io kozi husika.
Arusha tec wanatoa degree yake ila naitwa electrical and biomedical engineeringUbaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Kuna dogo langu amechaguliwa ana wasiwasi kama ajira zipo maana aliniuliza ila mimi sijawahi ona hata secretariat ya ajira ikitangaza kazi zake!! Watu wana ajiriwa kweli course hiyo?? Usipo ajiriwa serekalini wapi unaweza pata ajira kwingine?Ni course nzuri. Kapige msuli kijana.
Private hospital.Kuna dogo langu amechaguliwa ana wasiwasi kama ajira zipo maana aliniuliza ila mimi sijawahi ona hata secretariat ya ajira ikitangaza kazi zake!! Watu wana ajiriwa kweli course hiyo?? Usipo ajiriwa serekalini wapi unaweza pata ajira kwingine?
Ipo vizuri ajira uhakika.kapige shule uwe competent uta enjoy.
Private hospital.
Àjira uhakika ????😁
Serikàli waliajiri mwaka juzi tu toka hapo hawajatoa Tena zile nafasi za general kwa biomedical technician noKuna dogo langu amechaguliwa ana wasiwasi kama ajira zipo maana aliniuliza ila mimi sijawahi ona hata secretariat ya ajira ikitangaza kazi zake!! Watu wana ajiriwa kweli course hiyo?? Usipo ajiriwa serekalini wapi unaweza pata ajira kwingine?