mapendo daima
Member
- Jul 12, 2015
- 11
- 20
Habarini za majukumu wadau!
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika fani ya biomedical engineering. Lakini kutokana na upepo wa nchi unavyikwenda nilikuwa nafikilia kubadilisha hii kozi na nisome innovation engineering katika branch ya quality and innovation in project management.
Sababu kubwa ya kuwaza kufanya ivyo ni kuongeza nafasi ya kujiajili .tatizo nililonalo ni kuwa muda mwingi sijaludi tz so nashindwa kufanya uchambuzi yakinifu juu ya izo kozi ili kujua uwezo wa kujiajili uko vp na utakuwa vp katika miaka 10 ijayo.
So naomba kujuzwa hali ikoje kwa kozi izo hapo juu kwa maana ya innovation engineering,instrumentation engineering na biomedical engineering.