Biomedical engineering tupeane michongo

Biomedical engineering tupeane michongo

bakari saidi

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
26
Reaction score
4
Jaman kma kunafulsa ya biomedical engineering tujulishaneee wadau tuko tayar kuwajibika popte mawasiliano 0625979681
 
Nyie si mlisema hii course wahitimu huwa wanatafutwa na kazi wao hawaitafuti ,kulikoni tena
 
Kozi ya kitafiti kwenye maswala ya dawa hapo nashauri fursa zilizopo nje ya Tanzania...
 
Subir TFDA wakitangaza ajira may be mtapata, hiyo kama sikosei ni coz mpya hapa Tz kaz zenu nyingi zinasimamiwa na pharmasist kisheria nadhan labda sheria zikirekebishwa na kuwepo kwa clear job description mnaweza pewa hilo jukumu..just thinking
 
Kwa sabab usimamiz na ukaguz wa medical devices upo chin ya pharmasist..binafs sidhan kama they r right xparts
 
Subir TFDA wakitangaza ajira may be mtapata, hiyo kama sikosei ni coz mpya hapa Tz kaz zenu nyingi zinasimamiwa na pharmasist kisheria nadhan labda sheria zikirekebishwa na kuwepo kwa clear job description mnaweza pewa hilo jukumu..just thinking
Yap n mpya
 
Back
Top Bottom