Biomedical Engineering in East Africa

gota07

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
91
Reaction score
19
Naomba kujuzwa uhitaji wa biomedical engineers katika afrika ya mashariki hisusan Tanzania na viwango vya mishahara kwa watu wanaoanza fani iyo ila katika upande wa biotechnical system and technology ambayo inadili na kutengeneza mitambo ya mahospitalini.( medical devices)
 
gota07 nimeona bandiko lako na bahati mbaya limekosa wachangiaji, sababu kubwa ni kuwa field hii ina watu wachache sana East Africa. Hata huko mahospitalini, engineers wengi sio wa Biomedical. Kwa hiyo kupata information ya kutosha ni shida.

Labda nikupe mwanga kidogo, BioMeds Engineers in East Africa kwanza ni wachache sana, hospital nyingi zina recruit electrical & electronic engineers.

Pia kuna makampuni mengi tu ya ku supply medical equipment katika mahospitali, mf. kuna LabEquip ipo Dar, ndio wanaoongoza kwa kusupply medical equipment lakini hawana engineer hata mmoja, wao wana technicians tu wa electronic & electrical engineering.

Kama unataka, unaweza kuanzisha kampuni yako na kuingia mkataba na hospital ili kuwatengenezea equipment zao, hili nimelifanyia uchunguzi na linawezekana sana.

Tunaweza kuongea zaidi PM coz hiyo pia ni field yangu.
 
Mni pm na mimi nipo kwenye field hiyo.tukikutana tutajua pa kuanzia.ila mishahara ya kuanzia nasikia ni 1.3,perdiem ni elfu 80.kazi nyingi sana.
 
Namba Yangu ni +79241367978 unaweza kunitafuta wasup
 
Jobfinder hiyo 2.3 perdiem ndo nn kk
 
Mni pm na mimi nipo kwenye field hiyo.tukikutana tutajua pa kuanzia.ila mishahara ya kuanzia nasikia ni 2.3,perdiem ni elfu 80.kazi nyingi sana.


Sijakuelewa kiongozi. 2.3 million ndo mshahara?
 
Nina hiyo scholarship kwa mtu anayetaka kufanya hiyo course kwa masters nje ya Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…