Yaani unataka ku volunteer tu...? Duh..!! Na Biology ni pana sana, kuanzia kupasua na kufyonza mende hadi kucheza kiduku na simblisi. Ebu dadavua kidogo major ni nini na then tunaweza kukushauri...
Mwema anaweza kuwa anatafuta voluntia wa kufukia watu au kuwapulizia fomaldaidi kule mabepwande π