BIOLOGICAL SCIENCE (BS) NA UNDERSTANDING BIOLOGY

Mdugo

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
55
Reaction score
37
Samahani wanajukwaa.

Naomba mwenye vitabu au kitabu mojawapo kati ya tajwa hapo juu ashee hapa au anielekeze jinsi ambacho naweza kuvipata, soft copies. Imekuwa challenge sana kupata vitabu hivyo kwa muda sasa, na naamini kuna wengine pia ambao huenda wanavihitaji, iwe fursa kuvipata.


Asante.
 
Nilishawahi tafuta soft copies zake sikufanikiwa.
Labda wengine watusaidie.
 
Sidhan kama vina soft copy we komaa na hard copy secondary pc na smu haziruhusiw
 
agiza ebay mkuu simple sana
 
bs nayo kubwa nahis soft copy itaboa
Ukiwa na PC, au Tablet, soft copy ni bora zaidi.
Mimi ni mwalimu ndugu
Nipe authors wa hivyo vitabu nikuwekee hapa
- Hapa nina BS 6th edition, 2017 Author ni Scott Freeman [ pdf size 190MB ]
- Na pia kuna Understanding Biology 2nd ed. 2018 - Kenneth Mason [ pdf size 136MB ]

Kama Authors ni wenyewe nijulishe
 
Tofauti ni editions tu... Ila nauhakika vitanisaidia Sana Mwl.RCT...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…