zakiyah JF-Expert Member Nov 4, 2011 305 135 Nov 18, 2011 #41 mi nakutaka wewe baba mtu niwe mama wa huyo binti yako maana nahis una psychological noises, kwahiyo kubaliana nami kwanza then tumtafutie mtoto mume. sawa?
mi nakutaka wewe baba mtu niwe mama wa huyo binti yako maana nahis una psychological noises, kwahiyo kubaliana nami kwanza then tumtafutie mtoto mume. sawa?
E Endaku's JF-Expert Member May 25, 2007 321 47 Nov 21, 2011 #42 Nipm mimi nina magari na pesa atachagua mwenyewe , halafu bonge la HB ,mimi mrefu na mwenzangu pia ! Fanya fasta mzazi nina list ndefu ya kusort !
Nipm mimi nina magari na pesa atachagua mwenyewe , halafu bonge la HB ,mimi mrefu na mwenzangu pia ! Fanya fasta mzazi nina list ndefu ya kusort !
The Kop JF-Expert Member Aug 7, 2010 209 92 Nov 23, 2011 #43 hizo sifa ninazo mkwe ngo ni pm......mkweeeeeeeeeeeee
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Oct 12, 2011 1,741 511 Nov 23, 2011 #44 Nipigie said: unaye penda suti Click to expand... Mi napenda suti, ila sivai mpaka kwn harusi!
vanmedy JF-Expert Member Oct 12, 2011 2,698 1,395 Jan 22, 2012 #45 miaka 20 ana masters!!!! labda ya kuband***liwa
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 92,890 109,225 Jan 22, 2012 #46 Dumelambegu said: Urefu wa kitu gani? Fafanua kidogo. Click to expand... Jogoo lako.
Michael Scofield JF-Expert Member Jul 30, 2011 1,225 471 Jan 22, 2012 #47 FaizaFoxy said: Jogoo lako. Click to expand... Du! FF na wewe unayajua haya? mmh!
S sirmudy JF-Expert Member May 12, 2010 386 119 Jan 24, 2012 #48 samito said: 20yrz ana masterz? acha uongo, jipange uje na adisi ingine Click to expand... Ziko masters za aina nyingi jamani..., si lazima mtu akae darasani..... labda ni masters ya namna kum ''handle'' mwanaume...!
samito said: 20yrz ana masterz? acha uongo, jipange uje na adisi ingine Click to expand... Ziko masters za aina nyingi jamani..., si lazima mtu akae darasani..... labda ni masters ya namna kum ''handle'' mwanaume...!
R reandle JF-Expert Member May 6, 2009 11,168 8,142 Jan 24, 2012 #49 Nipigie said: Urefu usipungu 1.5 m Click to expand... Ba'mkwe; urefu usipungue 1.5m au 1.5 inch? Kama 1.5 inch mbona mfupi sana?! au sijaelewa?!
Nipigie said: Urefu usipungu 1.5 m Click to expand... Ba'mkwe; urefu usipungue 1.5m au 1.5 inch? Kama 1.5 inch mbona mfupi sana?! au sijaelewa?!