Baghdad2016
Member
- Jun 18, 2016
- 11
- 3
Natafuta binti aliyemaliza form 4 wa kufanya Kazi kwenye stationery yangu ndogo awe ana vigezo vifuatavyo.
1.Awe anaishi Temeke.
2.Muaminifu
3.Speed ya typing
4.Ajue kutumia computer programs vizuri
Kutumia photocopy machine
Plz inbox me.
1.Awe anaishi Temeke.
2.Muaminifu
3.Speed ya typing
4.Ajue kutumia computer programs vizuri
Kutumia photocopy machine
Plz inbox me.