Ukristo upi unasema wewe huu wa vitabu 73 au vile 66 vya Martin Luther ?watu wanakataa vitabu kama magazeti ya Shigongo wakati hata huyo Yesu hawakumuona inashangaza sana, kwanza hata hao wayahudi hawatambui huyo Mungu wenu Yesu na mafundisho yake, nyie ndio mnalazimisha , sasa watu kama hawa sisi tuwasikilize eti kwa lipi,!! UISLAMU unajitosheleza kwa nondo zake, wewe endelea kukumbatia wayahudi wakati hawana mpango hata na huyo Mungu wako wa mchongo Yesu
Hivi wanaojipendekeza na kuiba desturi za wayahudi ni nani kama si nyie ?
Ukristo una mizizi ya Uyahudi, Yesu na mitume wote ni jews
Sasa wewe muarabu tuambie kwanini mnajipendekeza kwa wayahudi na kuwazushia kuwa ni wapagani(Islam)?
Quran imejaa maneno na hadithi za Kiyahudi, lakini waislamu wengi hamjui hata maana zake.🤣🤣🤣
Ukweli ni huu, na unatakiwa ujue wokovu unatoka kwa Wayahudi.
Mungu alichagua taifa la Israeli, alituma manabii wake, na hii ndiyo msingi wa Biblia.
Majina ya mashujaa, manabii, na vizazi vyote vilivyo kwenye Biblia vinatoka kwa Wayahudi.
Hata mbingu yenyewe itakuwa na majina 12 ya kabila za Israeli, ikithibitisha kwamba historia ya wokovu inatokea kwa Wayahudi.
Kuhusu vitabu 73 vya Kanisa Katoliki dhidi ya 66 vya Martin Luther,
Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?
2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.
3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?
4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.