hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,683
- 27,603
- Thread starter
- #21
Wayahudi wanaomkataa sio wote ,Kwahyo Yesu sio nabii na sio Mungu kwako kisa wayahud wanamkataa had leo
Kwani hujui wale mitume wote walikuwa wayahudi, Paulo alikuwa myahudi
Hujui Kuna Messianic Faith
Yesu ni Mungu ,Yesu ni zaidi ya nabii
Usimuweke Yesu KUNDI moja na matapeli kina muhamad,