Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Wadau habari za wikiendi.

Katika pita pita zangu mwezi Wa sita nikakutana na bint wa Kiiraq mtandaoni wa Mto wa mbu tukaanza kuchati kama utani Jana nikafunga safari tukaonane.

Leo asubuhi tukakutana cha ajabu nimemkuta ana Vitz sehemu aloniambia tukutane.Baada ya stories nashangaa ananikabidhi funguo sikuamini nafikiri ananitania na akaniambia tuongozane kwenye Kituo cha Afya tukapime Afya tukaondoka majibu yapo fresh tupo wazima.

Ameniambia leo haendi kwao anataka tukeshe na amesema yupo kwenye siku za kushika pregnancy hivyo nijiachie Kwa Uhuru anataka mtoto.

Wadau mm sina hata baiskeli nyumbani Nina Mke na mtoto mmoja hatujafunga ndoa nipo njia panda nishaurini.
 
Vipimo gani ulivyotumia kupimia hiyo afya yenu?
Maana wengi ukimsikia akijinadi kupima afya, jua anamaanisha kapima ukimwi pekee!
Kuna gonjwa la hatari kuliko ukimwi Tz kwa hivi sasa.
Homa ya ini inaua kuliko ukimwi.
Hivyo usije ukaukosa ukimwi ukakenua meno ya ushindi, utakuwa umekosea sana. Songa hatua nyingine mbele kwenye vipimo.
 
mkuu lile deni langu utanilipa lini?
Halaf wife anasema mbn unamzungusha kulipa hela yake uliyoenda kumkopa vitumbua pale mgahawani?

Nimeona nije huku maana kule hujib msg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom