Binti huyo mwenye umri wa miaka 14 alitekwa jana Asubuhi saa mbili alipokua anaenda kununua vitumbua kwa ajili ya kifungua kinywa. Hili ni tukio la pili la utekaji wa watoto wa kike huko maeneo ya Kigogo Dar es salaam. Mwezi Machi mwaka huu mtoto mwengine wa Kigogo pia alitekwa nyara.
Source: Kijiwe cha Kahawa.