HABARI ZAIDI ILIYOTOKEA KATIKA KIFO CHAKE CHA MWANAMUZIKI NGULI(LEGENDARY MUSICIAN) MICHAEL JACKSON.
Akiongea katika mahojiano ya hivi karibuni na gazeti la Rolling stone(Rolling Stone Magazine),
Paris,mtoto wa kike wa mwanamziki mkongwe Michael Jackson amethibitisha ya kwamba na anamini ya kuwa baba yake aliuwawa.
Paris Jackson (18),alisema kwamba,"amethibitisha kwamba kifo cha Michael Jackson cha mwaka 2009 hakikiwa ajali kama wengi wanavyodhania.
Anakumbuka kwamba marehemu star wa pop duniani aligunduliwa kudungwa na cocktail za madawa ya kulevya katika mfumo wake wa mwili wake,Na alisema msababishaji wa kifo hicho daktari wa baba yake ambaye ni dokta Conrad Murray.
Miss Jackson aliliambia gazeti la Rolling Stone kwamba anayakini kwamba baba yake aliliuwawa.
Na alisema kwa msisitizo "baba yangu aliuwawa kabisa",.kwa sababu ni wazi kabisa.Ni point yangu kwamba.Inatokea sauti ya kufikirika kabisa(a total conspiracy theory) na inatokea sauti kama ng'ombe dume(bull)----_lakini shabiki zake za kweli na kila mtu kaika familia yetu tunajua hili.Wakati inaanza sauti hiyo kunguruma kama ng'ombe dume"
Asked who would want he father's dead.
She replied. "A lot of people and added that she is still seeking justice"
"It's a chess game, Paris explained." And I am trying to play the chess game the right way.And that's all I can say about that right how "