natafutakazi
Member
- Sep 16, 2019
- 26
- 12
kwa hiyo hii ndio cv yako?maana naona unajigamba tu
Naama, natafutakazi unaonaje ungesema unaweza kazi zipi, una maarifa yapi na pia umri ikiwezekana uko wapi hii itakusaidia kupata fursa kirahisi.kwa hiyo hii ndio cv yako?maana naona unajigamba tu
nitumie.picha yako pm unayoonekana mwil mzima juu had chini iwe recent.Tuma picha mbil moja uwe umegeuka nyuma nyingine unatizama mbele.......Habari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako
Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa
Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox
Tuzungumze vema ila sitaki majaribu
Kama huna kazi Basi pita tu
binafsi nimekuelewa
HapanaVp kazi ya ndani utafanya?
Wapi?Natafuta mtu wa kusafiri naye ninakoenda kokote maelewano tu
HakikaNaona hata mwandiko wenyewe ni shida,
sasa bora ueleze kazi za aina gani unaweza na zipi huwezi.
Utaweza kazi za ualimu!
Finance and accounting !
Bila shaka huwezi
Mwambie mama yako akutumie[emoji849]nitumie.picha yako pm unayoonekana mwil mzima juu had chini iwe recent.Tuma picha mbil moja uwe umegeuka nyuma nyingine unatizama mbele.......
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]binafsi nimekuelewa
Kama kazi ipi ipo tu kama hamna hakuna ata ningesema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]Naama, natafutakazi unaonaje ungesema unaweza kazi zipi, una maarifa yapi na pia umri ikiwezekana uko wapi hii itakusaidia kupata fursa kirahisi.
Duh...una matatizo wewe.Mwambie mama yako akutumie[emoji849]