Mkuu mpe tuu hela wala usihesabu umempa kiasi gani...we mpe tuuu...nasema mpeee...na wewe utaona zitakavyoongezeka...toa hela upate hela...upate akili ya kutafuta...Kuna msicha ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake. hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzaz. nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha. nb: ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. mapenz bila pesa si mapenz
braza hiyo statement ya kizamani hiyoa real woman doesn't help u spend your money she helps u to make more money
Kwa ninibraza hiyo statement ya kizamani hiyo
tatizo lipo kwamba hata yeye mwenyewe hana helaSi umpe? Tatizo liko wapi?
Kumbe tatizo ni lake sasa mbona anamlaumu binti?tatizo lipo kwamba hata yeye mwenyewe hana hela
a real woman should only know how to spend her mans Cash.Kwa nini