Binti, Natafuta kazi

vioner

Member
Mar 3, 2019
58
22
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu. Nina umri wa miaka 20 natafuta ajira nina elimu ya kidato cha NNE pia nimesomea basic computer.

Kazi yoyote ya halali iwe Usafi, kwenye Kampuni yeyote au hotelini au yeyote mwenye duka anahitaji mfanyakazi nipo tayari ni mwaminifu na mchapakazi, na najituma naongea lugha mbili yaani kiswahili na kingereza Kwa ufasaha kabisa msaada wenu jamani.

Namba zangu 0752370184. Life is too tough now days kwa walio serious jamani tafadhalini
 
Kila la heri binti.

Uwe mvumilivu kwa utakayopokea kupitia hiyo namba uliyotoa. Jambo la muhimu usiwe na hasira ila uwe mjanja na kuchuja ili upate wanaoelekea kuwa na uhitaji wa kweli wa mfanyakazi.
Mungu akutangulie.
 
Ajira imekuwa changamoto,unaweza kuomba kazi zilizoaminika kufanywa na wanaume na ukafanikiwa,kama ukondakta,udreva n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom