NILIMWONA KWENYE tv. alinistua sana! Kwenye jamii yetu kuna tatizo. Maadili yamepotea kabisa! Nafikiri ni vyema tuanze upya na makusudi kabisa somo la maadili na mila na desturi zetu nzuri zifundishwe mashuleni! Nadhani mila nzuri za Kihaya, Kisukuma, Kimasai, Kichagga, Kisambaa, Kiluguru, Kigogo, Kihehe, Kinyakyusa, Kingoni Kizaramo Kinyamwezi na kadhalika wasomi wetu wakakaa chini kuzikusanya pamoja tutapata kitu Tanzania itakipenda na kukienzi! Mila zo kimangaribi na Ulaya si zetu. Tuna zetu nzuri mno hatuziboreshi! Wasomi mpoo!