Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,665
- 1,660
Bikra nilimtoa mwaka janaSasa mmetambulishana vp kama bado hana uhakika kama Ww n mtu sahihi?
Anyway, kama ni bikra endelea kusubiri
Bikra nilimtoa mwaka janaSasa mmetambulishana vp kama bado hana uhakika kama Ww n mtu sahihi?
Anyway, kama ni bikra endelea kusubiri
Hamna ulokole hapo, mnazini huku akiomba Mungu amuonyeshe?Bikra nilimtoa mwaka jana
Sex tuliacha toka mwezi wa 4Hamna ulokole hapo, mnazini huku akiomba Mungu amuonyeshe?
Wa nne juzi hapo mnaona mmewin?Sex tuliacha toka mwezi wa 4
Bc tulia, inawezekana Ww umewekwa kufungua njia tuuBikra nilimtoa mwaka jana
Kwahy mkiacha sex ndo hamjazini? 😂Sex tuliacha toka mwezi wa 4
Kama bado hujaokoka, okoka sasa; kesho tu unachukua ngoma. Muone mchungaji wetu setfree humu Jf akupige sara ya toba. Utanishukuru baadae. Mchungaji kuna kondoo mpya wahi kabla simba hajapita nae.Achana na huyo mlokole, huyo amekuweka kama akiba ili mipango yake ikifeli huko anapopategemea asikukose.
Siwezi kuokoka mkuuKama bado hujaokoka, okoka sasa; kesho tu unachukua ngoma. Muone mchungaji wetu setfree humu Jf akupige sara ya toba. Utanishukuru baafae. Mchungaji kuna kondoo mpya wahi kabla simba hajapita nae.
cc setfree