Binti mchepuko zingatia

Mwisho wen u anza kumchombeza wife na utubu kweli huku ukijiandaa n majukumu ya mtoto
 
Ukimchukulia mume wa mtu kama wa mtu unaeza fanya vng vbaya lakin ukiwa makin unafklia abt ur future wala uez umia cyo anakuambia tuzae ww unatega uo n uzuzu.... Coz at the end of tim aez kua mumeo labda uroge
Na uroge kweli
 
Angejiua tu kwasababu anamletea matatizo mwanamke mwenzie mwenye ndoa halali. Huyo jamaa nampa big up sana kwa maamuzi.
 
Yaani ajiue kwasababu ya mume wa mtu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Alimuahidi nini kikubwa hivyo ambacho kina thamani zaidi ya uhai wake!!
Labda alikuwa anamkuna vizuri
 
This is shit...!! Mutha fucka....
Yaani jamaa kafa kizembe hivyo kwanini asingetenga hata hela ambayo ingemsaidia mchepuko mbeleni.
Lazima tuvunje ahadi ya mungu kwamba hatuoi tunazalisha na kulea... Damn it mutha fucka......
 
Wanaambiwa kila sku taften wakwenu hamtak

Wanadhan kuna bustan inajitengeneza yenywe

Kila kizur kina garamiwa
Ukikubali kuwa mchepuko
Pia ujue saa na wakat wowote
Utatokea mlango ulio
Ingilia

Lasvyo tutawakula tu
Mpaka mjitambue

Hasa hiv vibinti vinavopanda
Sasa hiv under 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…