yeahreal?
Pesa hata kwa wazazi au job utapata Dushe maneno mengine utalitafuta tu.ha haha abda pesa
Wengi wao kama unavyosema ni pesa tu...sasa unakuta wanaona wakizaa ndo zitazidii! Kumbe wanajiongezea tatizoWanaakili finyu sana hapo utakuta ni pesa sio penzi na utakuta hawana elimu hata ya kutafuta kibarua
ujitoa ufahamu tu. unajua wanawake tunatabia ya ushindani wa kipuuzi sana akiona wewe bf wako anakuceat ana cheat naye anajiona tu wa gharama kumbe hakuna lolote.. kuzaa na mume wa mtu ni sawa na kuweka kitanzi shingoni huku ukijipa moyo akiwezi nikaba
Najua mwenyeweMapesa mengi? ni kwanzia kiasi gani?
Akifa nitataja sababu hana thamani tenaKwa iyo ata akifa humtaji kisa anaeshimika
Ha haha haSome tyms unamkaza mkeo huku unavuta hisia za mtoto mmoja mkali anaekunyima mbunye yake. Siku akiingia kingi unaeza mkojolea hata goli nane mamaeee.. Huu mchezo hautaki hasira!!
Kabisa ukienda na moyo lazima bf akaenda pembeniMume wa mtu ukitaka kuenjoy usiweke moyo. Kwanza unaanzaje kumpenda mume wa mtu? Kwa mume wa mtu unaenda na akili moyo mwachie boyfriend.
Mmh we jidanganyePesa hata kwa wazazi au job utapata Dushe maneno mengine utalitafuta tu.
Hata me pia huwa sinaga huruma naoMimi nawaona ni wajinga tu, na wakizalishwa kutwa kujilalamisha wametekelezwa, Mungu anisamehe mimi mtu akitekelezwa na mume wa mtu hata simuonei huruma.
Umbea huo sasaNimeshamjua huyo mtu
Kumbe naww kakwambia...aiseeUmbea huo sasa
Ndiyo hivyo eti anaogopa mchepuko kujiua ha ha haKumbe naww kakwambia...aisee
Wacha ajiue tukale wali maharageNdiyo hivyo eti anaogopa mchepuko kujiua ha ha ha