Binti kuuza Bakery anatafutwa

Weza

Senior Member
Oct 24, 2013
118
72
Anatafutwa binti aliemaliza kidato cha nne nakupitia mafunzo ya hotel management na computer skills kwaajili ya kuuza duka la cake na mikate, awe anaishi dar es salaam Maeneo ya mwananyamala, Victoria, Makumbusho, sinza, au kinondoni.

Anaeweza kuwasiliana kwa lugha kingereza na kiswahili, awe mwaminifu na umri kuanzia miaka 18 mpaka 25. Aliyeko interested anijulishe kwa mawasiliano zaidi ya muhusika.
 
Sikio la kufa halisikii dawa umeambiwa awe wa Dsm, tena kataja na mitaa bila shaka anakutakia utumie gari mmoja, kama una ndugu Dsm, si unasema unatokea Dsm over
Uko sahihi mkuu anahitajika atakaeishi karibu na ofisi ili anapotoka job awahikufika home apumzike mapema kwasababu atatakiwa kuanza kazi mapema pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom