Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,299
Nilete kahawa na kashata ngapi eti?
Za kututosha sote hapa...
Aisee, pitia kwangu jioni tunywe kahawa kwa porojo. Ila ubebe kashata basi
Kashata ataleta Evelyn Salt
Last edited by a moderator:
Nilete kahawa na kashata ngapi eti?
Aisee, pitia kwangu jioni tunywe kahawa kwa porojo. Ila ubebe kashata basi
Stendi kuu ama soko kuu wewe? Nje ya kihotel flani kilikuwa na sambusa msisimko along hiyo barabara inaenda kutokea jogoo house.
wale kahawa zao niliambiwa wanachanganya na mavi ya mbuzi nikaziacha. Mie naroast mwenyewe hehehe