Binti huyu amepoteza wazazi wake (Tapeli)

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Anaitwa linda opere.ni raia wa sudan.wazazi wake waliuawa katika vita vya dafur.anaishi uhamishoni nchini senegal.vita ni noma
 

Attachments

  • LINDA OPERE 2.JPG
    LINDA OPERE 2.JPG
    29.8 KB · Views: 320
Nadhani utakua umetumiwa email na kisha kakwambia wazazi wake wameacha accounts zina hela so wanataka wewe wakuchague kama msimamizi then watakupa mpunga nusu lol
 
Wewe usidanganywe hao wezi wa kimataifa mimi walinitumia email wakisema hayo hayo baadae inakuja naomba unisaidie tiket nije, au ukishindwa wanakuandikia email nimefanikiwa kuondoka na sasa niko nchi fulani lakin nimeacha zawadi yako senegal kwa mtu fulani hivyo wasiliana naye akupatie, ukiwasiliana naye utasikia nina cheque yako hapa nataka niideposite kwenye a/c yako ntuma taarifa muhim kumbe ni chang la macho. Utaibiwa hata kilaki chako unacho kibana kimbia. Au kama huamin jaribu kumuentertain uone atakayosema ndipo utakapo amini
 
Nadhani utakua umetumiwa email na kisha kakwambia wazazi wake wameacha accounts zina hela so wanataka wewe wakuchague kama msimamizi then watakupa mpunga nusu lol
Kin kong iliwahi kunitokea the same ila nilishtuka pale aliponiambia habari za kuwa msimamizi tena nilihofia wasije wakaniingiza kwenye mtandao wa uharamia, nikaawawashia moto hawajarudia tena.
 
I know u got a mail with that message n that pic. Ni waongo tu hao wanaotuma, mie siku hizi nikiziona hata sisomi nazifuta. They use different pics n different word ila theme ni the same.
 
Anaitwa linda opere.ni raia wa sudan.wazazi wake waliuawa katika vita vya dafur.anaishi uhamishoni nchini senegal.vita ni noma

hivi unawafahamu wasudan especially wa huko dafur walivyo weusi, binti white kbs huyo!...changa la macho
 
Mimi kuna mwingine ananitumia emails eti baba yake alikuwa gavana huko Liberia baadae akauwawa kwenye vita lakini aliacha hazina kubwa ya fedha na kwamba watu wanataka kumdhulumu lakini documents zote za bank anazo yeye,kwasasa anaishi kambi ya wakimbizi Burkina-faso so anataka atume hizo hela kwenye account yangu kwa usalama zaidi then atanipa 10%,anasema anaitwa Eisher sijui!Hapa hata mtu mwenye akili nzito kiasi gani anajua kabisa hili ni changa la macho!!Namu-enjoy tu nimemwambia poa anitumie hizo hela akasema atanitumia details soon!!
 
Hata mm
kuna binti aliambia anaishi sngl but
kwao ni sudani na alitoka b'coz of civil war na baba akauwawa na ameachiwa hazna kubwa ya pesa benki huko UK
sasa anataka hzo pesa zitumwe kwenye my acount na atazikuta kwangu cha kushangaza ili kufanikisha ku2ma hzo pesa inatakiwa eti mimi nimtumie kiasi cha dolla 300
kwenye Western Union
nami kwa dharau nikamjibu
I'm faced by lack of Money
 
mimi alini tumia tukawa tunawasiliana akataka account nikamshauri atafute mtu wa sudan kwani mimi ni mtoto wa gavana huku nina hela sina mahali pa kuzipeleka na kama ana shida anipe account yake nimtumi m 100 akapotea sijamsikia mpaka leo.
 
Huu ni mchezo mchafu unaofanywa na matapeli, wanakupumbaza uwape taarifa zako kisha ukishawapatia tu mwanangu imekula kwako, usilogwe kuwapa information zako za kibenki watakomba kila kitu na wewe utabaki mweupe kabisa.
 
Back
Top Bottom