Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Mshukuru sana mungu kwa kukupa usichokiomba..
 
Mkuu hadithi hii inatufundisha kua, unapoahidiana na demu Gesti, ni vyema kusubiria nje ya gesti sehemu ambayo anakuja gesti hakuoni. Asante!
 
ila kaka umefundsha wengi kwa huu mkasa wako mana kawaida kubwa ni wewe unatangulia na kumuambia dada njoo rum namba flan na sasa hvi Polisi na OFM wanavotaka umaaruf wanakuja kabsa na silaha hata kama mkasa umetokea hotelin
 

acha michepuko aka umalaya.
 
Kama James Bond vileeee...safi sanaaa
 

Labda kama ni ushamba wangu wa 1947,

Ila bado sijaona kosa la huyu dogo. Enzi zetu kulikuwa na dogo mmoja alikuwa anaishi maeneo ya Kinondoni karibu na Kwa Manyanya, yeye wakati mwingine alikuwa anapiga kutwa mara 3 (with different girls). Na alikuwa anawategea wakitoka maeneo ya Mwananyamala kuelekea gengeni. Alikuwa akisomesha 10 hakosi mmoja au wawili....

Labda kama mambo yamebadilika enzi hizi, ila siwezi kushangaa dili kumalizika ndani ya masaa!

Kwani dogo alikuwa anatafuta mke?
 



tGO ilikuwa inahusika hapo,,,
God is gr8 always, ,acha uzinzi/uasherati
 
ulikuwa unapoteza marinda mzee, sijui ungekuwa mgeni wa nani.hahahahaha
 
Mmmh, unabahati ka ulizaliwa jumapili vilee
 
Kwanza wangekujambazia ukatoa vitu vyote ulivyonavyo, wakafumua marinda, halafu ukamalizia kichapo mpk ungelazwa! Shukuru shetani ulonalo nyooooooooo, huyooo. Hadi aibu, mwanaume jiheshimu. Msipende kutembea juu ya ganda la ndizi teh teh teh teh
 
Hii stori wauzie akina Sumaku wa mizengwe wacheze Comedy
 







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…