RespectFilamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX...
Yaleyale ya akina shumileta anatoa moyo wa mtu anaula kumbe andazi.
Mdada anabakwa hapigi hata kelele ndo kwanza anakaa ile staili ya baby panda dirishani fanya kama unaidondokea..
Yaleyale ya akina shumileta anatoa moyo wa mtu anaula kumbe andazi.
Mdada anabakwa hapigi hata kelele ndo kwanza anakaa ile staili ya baby panda dirishani fanya kama unaidondokea..
What I think inakuwa hivi it's either wanalipwa na Netflix ama kwa faida itakayoingia au mkataba wa moja kwa moja yani wana ku cash out msijuane kazi inakuwa yao kila ulichokifanya ndo kimekuwa chao we yako hela.Hiv mwigizaji/mtunzi atapataje hela kwa filamu yake kuoneshwa Netflix?