Binti fahamu hili!

It's damn true...

Wanaume huanza kwa kutamani, then mengine hufuata...

Ila at some point kuna baadhi yetu imeshawahi tokea ukampenda mwanamke kwa kumuona tu mara ya kwanza...
 
It's damn true...

Wanaume huanza kwa kutamani, then mengine hufuata...

Ila at some point kuna baadhi yetu imeshawahi tokea ukampenda mwanamke kwa kumuona tu mara ya kwanza...
Bora mkuu umeona mantiki
 
Siku hizi wanajifanya jeuri eti ndoa kitu gani?
😂😂😂Huwa nacheka sana wakati mioyoni mwao ukweli wanaujua.
 
Mkuu unaishi dunia ipi ambayo haina malalamiko ya kuwa siku hizi hakuna wanaume waoaji.

Au mwenzetu upo Mars ..

Wanaume wakipata title ya kuitwa baba tu inapendeza zaidi ila mwanamke akiitwa single mama value imepungua ndio maana mtoa mada ameshauri ngono isiwe kipimo cha upendo.
 


Natumia JF kama kielelezo changu, na hapa JF wanaoongoza kuleta habari za kulalamika kuhusu mambo ndoa ni Wanaume, wanaume ndio wanaonekana kusumbuliwa zaidi na jinsi wanawake walivyoamua kuishi maisha yao.
Kama Wanawake wangekuwa na hiyo shida ya kupata mwenza kuliko Wanaume wao ndiyo wangejaza serva hapa JF kulalamika, lkn wanaolalamika ni Wanaume, sasa kwa nini wanaume waongoze kulalamika kama kwao siyo ishu kupata mwenza?
 
[emoji56][emoji56][emoji56] bakiriwa mkuu
 
Upuuzi huu we bado upo shule unalipiwa.ADA tulia
 
Acha kuwadanganya wanawake wewe... Ulichokiandika hapo kina ukweli asilimia 30 tu[emoji41]

Unaweza ukampenda mwanamke na ukatamani kumuoa kabla hata hujamtongoza
Hiyo ni moja ya mia lakini alichokieleza msemaji hapo juu ni sahihi kabisa
 
Mkuu mbona kuna visu, Alshaabab nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…