Acha kuwadanganya wanawake wewe... Ulichokiandika hapo kina ukweli asilimia 30 tu[emoji41]
Unaweza ukampenda mwanamke na ukatamani kumuoa kabla hata hujamtongoza
Acha kuwadanganya wanawake wewe... Ulichokiandika hapo kina ukweli asilimia 30 tu[emoji41]
Unaweza ukampenda mwanamke na ukatamani kumuoa kabla hata hujamtongoza
Acha ku mix concept. Kuna kupenda na kutaman. Anachomaanisha jamaa, kuwa mwanaume hawezi kupenda kwa first sight, huwa anatamani tuu na tamaa za ngono juu. As days going baada ya mwanaume kujua strength za mwanamke wake hapo ndipo kupenda kwa kweli kunakuja
Mimi naweza kupenda kwa first sightAcha ku mix concept. Kuna kupenda na kutaman. Anachomaanisha jamaa, kuwa mwanaume hawezi kupenda kwa first sight, huwa anatamani tuu na tamaa za ngono juu. As days going baada ya mwanaume kujua strength za mwanamke wake hapo ndipo kupenda kwa kweli kunakuja
[emoji981][emoji981][emoji441][emoji441][emoji441]Sauti kama ipo chini vile...View attachment 1224701
kwaiyo hautaki tugongembunyeHakuna mwanaume anaye kutongoza kwa mara ya kwanza lengo likawa ni ndoa!!
98.5% ya wanaume wote wanao kutongoza mara ya kwanza lengo lao huwa ni sex!!! kufikiria kukuoa na kuanza kukupenda kunakujaga baadaye sanaaa..
Unaweza ukaishi na mwanaume miaka miwili akawa bado hajakupemda kabisaa !!! akawa yupo na ww kwa ajili ya sex...tu.
unaaweza ukawa unajiachia kwake ukajua uko pekee yako kumbe muko kama sita!!
Ukijiachia sana kwa mwanaume kisa kakutongoza siku tatu, vitu anavyokuonyesha vya kukupigia simu mwanzoni na vile sijui vi pillow talk, monkey style, Z style , U style ukajiona ndio unapendwa hutaamini muujiza!!
tambua tu inachukua muda mrefu sana mwanaume kuanza kuwa committed na wewe na kukupenda kweli!!
Mwanaume ataanza kufikiria kukuoa akiona una kitu cha pekee hasa kuwa na msimamo wa kujilinda na kutetea Maadili yako.
Kila siku nawaambia Ngono kabla ya Ndoa ni adui wa ndoto zako za kuolewa.
Utavunja kiuno kwa kumpa Ngono na bado utaambulia patupu!!
Nadhani nimesikika au niweke loudspeaker !?View attachment 1224690View attachment 1224691
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ubaharia jamaaWakati mwanaume anafikiria papuchi mwanamke yeye anafikiria pochi(hela), viumbe viwili tofauti na vyenye fikra mbili tofauti.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bro mbona kama una teseka??[emoji2371][emoji2371][emoji2371]Kwa nini wanaosumbuka na kutoa ushauri kuhusu ndoa ni Wanaume? Ulivyoelezea ni kama vile Wanawake wanaihitaji ndoa zaidi kuliko Wanaume wanavyoihitaji, unajidanganya, kama ingekuwa hivyo ni kweli Wanaume kama wewe wasingejazana hapa JF kila siku kujifanya kuwaonya Wanawake, kwa nini uwaonye kama kwako ni rahisi kupata mwanamke wa kuoa? Kwa nini ikusumbue jinsi mwanamke alivyoamua kuishi maisha yake? Kwa nini Wanawake wenyewe hawalalamiki kwamba wanakosa waume wa kuwaoa ila Wanaume ndo wanaongoza kulalamika kama unafikiri ni rahisi kwa Mwanaume kupata mwenza?
Bro mbona kama una teseka??[emoji2371][emoji2371][emoji2371]
Ni ushauri tu [emoji1][emoji1]