Binti chawa Jokate Mwegelo amelamba cheo gani ?

Binti chawa Jokate Mwegelo amelamba cheo gani ?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Huyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia, alikua mstari wa mbele kumpigia debe samia,
Nakuwapa vitisho waaandamanaji. Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
 
huyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia ..alikua mstari wa mbele kumpigia debe samuya,

Nakuwapa vitisho waaandamanaji..Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
Kama mama yake mdogo Jenister hajapewa akae tu huko sisiemu
 
Mpelekeeni motoo tu

hana tena faida yoyote
useleless toilet paper!

9dec tukutane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom