Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 317
Hi wana JF,
Bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku napenda kuuliza kuna hatua za kisheria ukimpatia mimba mwanamke aliyeko chuo?
Bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku napenda kuuliza kuna hatua za kisheria ukimpatia mimba mwanamke aliyeko chuo?
Kaka Mussa we relax bwana, huna kosa kwa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama huyo bint ana umri wa miaka 18 au zaidi. Ila una kosa kijamii, kwa sababu wazazi wake hawatofurahia hilo jambo. Kwa hiyo andaa wazee wa familia yenu waende kuwa please wazazi wa huyo bint. Pia unakosa kidini, uwe muislam au mkristo utakua umetenda dhambi hivyo omba toba kwa Mungu wako.
Otherwise usimkatae mwanao wala usimkane bint. Hizo ni asset zako. Wakikuambia uowe, jipange, funga naye ndoa.
Last edited by a moderator: